Wat mataz ni m2 unaempenda? Je ni m2 ambaye unaweza kuishi mkaelewana na kujenga familia bora? Ngono c suala la msingi kiivo kwan ni nusu saa kati ya masaa 24 ya kuishi kwa siku! Kabla ya kufikiria kumpata anaejua kufanya mapenzi jiulize kwanza uko tayari kuish maisha yasiyo na aman kwa masaa 23 na nusu kwa ajili ya starehe ya nusu saa kila cku?
majibu yapo kwenye thread yako mkuu...wewe unapenda kupiga mechi kama upo fainali ya kombe la dunia wakati mwenzio anawaza kwenda saluni...uamuzi ni wako.
uishi nae hivyo hivyo au utafute mpenda ngono kama wewe uoe.
ila kumbuka ndoa ni zaidi ya ngono mkuu
Wana-JF wenzangu. Nimepambana na maisha na kuyaweka sawa na sasa imefika wakati naona ni bora nitulizane na kuoa ili niendelee na chapter nyingine ya maisha. Kuna huyu binti nimempata na tuko pamoja kama miaka miwili na nusu sasa. She's ok in so many ways kasoro ni kwamba linapokuja suala la ngono hatuko on the same page kabisaaaaaaa. Yaani ni gogo na mvivu 100% kwenye 6x6, na hajishuhulishi kabisaaaaaaa na chochote... ni ile style ya soma gazeti ukialimaliza litupe....kifo cha mende. ..nimejaribu kumweleza na kumfunza wapiii lakini anasema there's nothing she can do. Sasa nahofia kuja kuoa mke ambae tutakuwa hatuko sexually compartible.
Jee hii ndoa itadumu kweli? Madhara ya kutoridhishana kingono kati ya wapendanao ni yapi? Manake nimejitahidi ku-overlook lakini saa nyingine nakuwa tempted kukata kiu kwa makoloni ya zamani ambayo tunaivana kingono kitu ambacho sitokipendelea nikijaitwa mume wa mtu. Nataka nikioa nitulizane kama maji ya mtungi na sitaki nyumba ndogo. nimekwama. Nifanyeje? Nawasilisha
Compatibility ni muhimu. Na kwa nini hataki kujifunza? Au ni mnene sana kwa hiyo mastyle unayotaka anashindwa. Kama ni wa kawaida namshangaa sana kwa sababu ni too early kuwa na staili ya kusoma gazeti. Mh. Tafuta mnayeendana dear asikwambie mtu 6x6 kwanja mengine yanafuata. Tulia utapata mwengine mwenye tabia nzuri na bado mambo anayajua. Sikushauri kabisa kuoa mke asiyekuridhisha utaishia kuwa kiruka njia. Ndio wanume wanatoka nje ya ndoa ila wewe utatokomea si kutoka tu.
Sio mnene wala sio mwembamba yuko wastani tu. Tabia nzuri anayo, ana heshima yani in overall yuko ok kasoro ni kwenye 6x6 yaani nimejitahidi saanaa kuoverlook lakini naona sasa it's taking its toll, nsipendi wala sitopenda kuja kuwa na nyumba ndogo maishani. Hata sijui nifanyenje niko njia panda
mpendwa mambo haya nayo yanahitaji we mwenyewe,unauhakika yeye anajiona mvivu kitandani na yuko tayari kwenda mafunzo,maana angekuwa anajiona hivyo huyu bwana asingekuja na thread hapaMlipie pesa kidogo aende kwa bi chau.. akirudi atakuwa amechangamka..
Kabla hata ya kwenda kwenye tendo la ndoa, hapo kwenye red una maana gani kusema "she's ok"? Yaani mimi hapo ndio pana utata mkubwa. She's ok and you want to marry her. Why don't you marry the one who is best for you? Instead, you're picking the one who is ok for you. Think twice sir.
nani kakuulza yote hayo bi shost?mhh ukimuoa huyo jiandae na mechi za mchangani.....ndoa si kusoma magazeti babu eee watuulize wenye ndoa zetu zinatizmiza miaka 70 sasa na kila siku wapya
Pole mkuu ulizoea farasi leo upo na ngamia,kungekuwa na twisheni au internship ningekwambia umpeleke lol,komaa nae tu mpe shule taratibu umeshasema ni mzuri kwenye maeneo mengine hakuna mtu aliyekamilika.Hata wewe inawezekana kuna kitu unamboa sema tu hayupo jf kutueleza.
OK means sura nzuri tabia njema mpishi mzuri msafi ana heshima etc. lakini when it comes to 6X6 mmmmnnnhhh , yaani ni zero. I'm confused, mkuu
Basi jiangalie wewe mwenyewe kama una mfikisha.. Walah kama unamfikisha kigoma lazima atarespond!
OK means sura nzuri tabia njema mpishi mzuri msafi ana heshima etc. lakini when it comes to 6X6 mmmmnnnhhh , yaani ni zero. I'm confused, mkuu