Hivi kuna umuhimu gani wa kila mwanafunzi kuwa na laptop yake? kwa nini wasiweke laptops madarasani halafu wanafunzi wakashea pale wanapokuwa na vipindi ambavyo vinahitaji computer..
mimi hii naitazama tu maana hata walioendelea hawajaweza ku provide laptop kwa kila mwanafunzi wa primary...
unampa mtoto laptop atembee nayo kwenye begi la shule, akiigeuza toy ikaharibika pesa za matengenezo ata provide nani?
maintanance ni mtihani hapo!