Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 24,608
- 30,226
Hauamini double allocation! Waliopo sasa wanaweza wakasogezwa pembeni na mambo yakaendelea.Hii sio kweli, kwani 90.0 kwa hapa Dar, tayari iko occupied.
Classic Fm frequency zake ni 103.3 na inashika vizuri sana hapa darNi mfano ndugu hata hiyo 88.9 ilikuwa occupied tayari na classic FM nazani
Mkuu nimesema "nazani" ni classic Fm sikuwa na hakika sana.Classic Fm frequency zake ni 103.3 na inashika vizuri sana hapa dar
Ni kweli walishatangaza kuwa dar kumejaa. Hata hiyo 88.9 ilikua inatumiwa na cpconutfm ya Zanzibar redio tanzu na clouds. Hapa kuna siri nzito.TCRA walisema wapi masafa yamejaa?hebu leta hiyo taarifa hapa
Nakumbuka TCRA waliwahi kusema DSM frequency zimejaa...
Wajuzi naomba ufafanuzi
Wasafi wamesajiliwa Zanzibar, siyo Dar...Nakumbuka TCRA waliwahi kusema DSM frequency zimejaa...
Wajuzi naomba ufafanuzi
classic Fm Ni 103.3Ni mfano ndugu hata hiyo 88.9 ilikuwa occupied tayari na classic FM nazani
Ahsante kwa kunifahamisha ndio maana nilitumia neno nazani.classic Fm Ni 103.3
Lini.Jibu nilicho ulizi Tcra walisema dar imejaa
nazani=nadhaniAhsante kwa kunifahamisha ndio maana nilitumia neno nazani.
Bei shilingi ngapi?Na frequency unaweza kuzinunua even 3 years before kuanza kurusha matangazo ni PESA yako tu
Hili ndio nenoNi kweli walishatangaza kuwa dar kumejaa. Hata hiyo 88.9 ilikua inatumiwa na cpconutfm ya Zanzibar redio tanzu na clouds. Hapa kuna siri nzito.
Lete ushahidi ww mzee, achana na tabia za uchochezi kama cdm .Jibu nilicho ulizi Tcra walisema dar imejaa
Mkuu nimesema "nazani" ni classic Fm sikuwa na hakika sana.