Baba jayaron
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 4,629
- 6,365
Nice weekend kwa wala bata,
Bata la leo ni batani Tabata kinyerezi yaani WCB wanajaza watu hatari na bonge la stange aisey.....
Tuacheni team Dimond ni muha alisi anaejua namna ya kutafuta hela kwakuongeza thamani ya biashara.
Leo nimeahughudia uwezo mkubwa wa wasanii wetu kujiamini na wakafikia lengo maana hii show ni kama kuna msanii mkubwa ana pafomu.
Kiba akubali ajifunze kwa Mond how can he make his business worth.
Sina Team.
Mimi ni mzalendo.!!