WCB rasmi imemtenga Harmonize au haitaki Siasa?

LICHADI

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2015
Posts
4,727
Reaction score
13,466
imezoeleka kuwa kila kazi ya mwana WCB inapotoka huwa kuna ushirikiano wa kuintroduce kazi zao, Kijana tokea atoe nyimbo yake mpya ya magufuli hamna msanii yoyote wa WCB aliyemsuport hata kwa kupost tu wote wamekaa kimya, wasafi media, wasafi tv na wasafi fm wote nao kama hawaoni

Na juzi kulikuwa na habari njema ya Monize kumzawadia gari na kumtambulisha tena kwenye game q chillah lakini wasanii wenzake wote pale WCB hawakumsuport wala wasafi media hawakumpa airtime kama ilivyo kawaida yao

Je kijana ameshachokwa kama watu wasemavyo anataka kutoka kundini au WCB now hawataki siasa?
 
Kweli Jf imeingiliwa, kwani record label ya wasafi ni ya CCM, kibiashara ulitaka wasapoti vipi tofauti na kuweka nembo ya hatimiliki au hata hujui kama hatimiliki ya hiyo song ni ya wasafi? mengine tuwe tunakaa kimya sio kujiaibisha, what if Raymond ni mwanachama wa chama kingine nae unataka tu asapoti chama cha mwenzie!?
 
UNAPOST HABAR JUKWAA LA PICHA HALAFU UNATULETEA MAELEZO,HUKUONA UNAPOST JUKWAA GANI AU? KAPELEKE HABAR YAKO CELEBRITIES HUKO...
 
Image may contain: people standing, skyscraper, sky and outdoor
 
Back
Top Bottom