Imethibitika pasipo shaka kuwa timu za Africa katika mashindano ya kombe la dunia 2010 ni kundi la timu dhaifu. Ukiachilia mbali Ghana iliyoshinda mechi moja kwa 'bahati' kwa njia ya penati hakuna timu nyingine ya Afrika iliyoshinda zaidi ya kutoka sare na kuambulia kipigo.Kwa maoni yangu,
1.Tuiombe FIFA ipunguze timu wakilishi za Afrika kutoka tano mpaka tatu (kuondoa viti maalum) kama ilivyokuwa zamani ili kuhakikisha timu zinopatikana zinaleta ushindani wa kweli.
2.CAF iipe Misri ushiriki wa moja kwa moja kwa fainali angalau nne zijazo na nafasi mbili zigombaniwe na timu zilizobaki. Hii ni imani yangu kwa Misri kutokana na mchezo wao wa ari (jihad) muda wote wa mchezo hasa kutokana na kuwatumia wachezaji wengi wanaocheza ligi ya ndani(ubingwa wa mfululizo wa Mataifa ya Afrika ni kielelezo).
3.Timu za Afrika zitumie wachezaji wengi zaidi wanaocheza ligi katika bara Afrika kwa kutumia makocha wa kiafrika na fomesheni za kiafrika(mf.3-2-5) badala kuwatumia wazungu wanaofundisha fomesheni za kizungu na wananuna timu za Afrika zikishinda (hata kwa bahati)
4.Kwa mapenzi yangu yangu WC 2010 Afrika ingewakilishwa na DR Congo,Angola,Ghana,Ivory Coast, Misri na Tanzania(kwa heshima ya kuwa nchi kinara ilyokuwa mstari wa mbele katika ukombozi wa nchi za kusini mwa Afrika)
Woza 2010

to be honest at the moments misri seems to play better than everybody may be wangekuwepo wangesaidia kidogo, tukubali africa mpira bado sanaaaaa! talent is there no question about it ila discpline ndio tatizo, sio discpline ya kumuamkia kocha asbui la hasha, discpline ya mchezo, kuzingatia masharti na kufuata maelekezo ya kocha!
Imethibitika pasipo shaka kuwa timu za Africa katika mashindano ya kombe la dunia 2010 ni kundi la timu dhaifu. Ukiachilia mbali Ghana iliyoshinda mechi moja kwa 'bahati' kwa njia ya penati hakuna timu nyingine ya Afrika iliyoshinda zaidi ya kutoka sare na kuambulia kipigo.Kwa maoni yangu,
1.Tuiombe FIFA ipunguze timu wakilishi za Afrika kutoka tano mpaka tatu (kuondoa viti maalum) kama ilivyokuwa zamani ili kuhakikisha timu zinopatikana zinaleta ushindani wa kweli.
2.CAF iipe Misri ushiriki wa moja kwa moja kwa fainali angalau nne zijazo na nafasi mbili zigombaniwe na timu zilizobaki. Hii ni imani yangu kwa Misri kutokana na mchezo wao wa ari (jihad) muda wote wa mchezo hasa kutokana na kuwatumia wachezaji wengi wanaocheza ligi ya ndani(ubingwa wa mfululizo wa Mataifa ya Afrika ni kielelezo).
3.Timu za Afrika zitumie wachezaji wengi zaidi wanaocheza ligi katika bara Afrika kwa kutumia makocha wa kiafrika na fomesheni za kiafrika(mf.3-2-5) badala kuwatumia wazungu wanaofundisha fomesheni za kizungu na wananuna timu za Afrika zikishinda (hata kwa bahati)
4.Kwa mapenzi yangu yangu WC 2010 Afrika ingewakilishwa na DR Congo,Angola,Ghana,Ivory Coast, Misri na Tanzania(kwa heshima ya kuwa nchi kinara ilyokuwa mstari wa mbele katika ukombozi wa nchi za kusini mwa Afrika)
Woza 2010
imethibitika pasipo shaka kuwa timu za africa katika mashindano ya kombe la dunia 2010 ni kundi la timu dhaifu. Ukiachilia mbali ghana iliyoshinda mechi moja kwa 'bahati' kwa njia ya penati hakuna timu nyingine ya afrika iliyoshinda zaidi ya kutoka sare na kuambulia kipigo.kwa maoni yangu,
1.tuiombe fifa ipunguze timu wakilishi za afrika kutoka tano mpaka tatu (kuondoa viti maalum) kama ilivyokuwa zamani ili kuhakikisha timu zinopatikana zinaleta ushindani wa kweli.
2.caf iipe misri ushiriki wa moja kwa moja kwa fainali angalau nne zijazo na nafasi mbili zigombaniwe na timu zilizobaki. Hii ni imani yangu kwa misri kutokana na mchezo wao wa ari (jihad) muda wote wa mchezo hasa kutokana na kuwatumia wachezaji wengi wanaocheza ligi ya ndani(ubingwa wa mfululizo wa mataifa ya afrika ni kielelezo).
3.timu za afrika zitumie wachezaji wengi zaidi wanaocheza ligi katika bara afrika kwa kutumia makocha wa kiafrika na fomesheni za kiafrika(mf.3-2-5) badala kuwatumia wazungu wanaofundisha fomesheni za kizungu na wananuna timu za afrika zikishinda (hata kwa bahati)
4.kwa mapenzi yangu yangu wc 2010 afrika ingewakilishwa na dr congo,angola,ghana,ivory coast, misri na tanzania(kwa heshima ya kuwa nchi kinara ilyokuwa mstari wa mbele katika ukombozi wa nchi za kusini mwa afrika)
woza 2010