Lizzy Luu..
kwa maoni yangu ni kwamba kuna watu wanadhani wao ni wazuri kuliko wengine..
na wameshajiwekea picha fulani kichwani mwao kuwa mtu mzuri yuko hivi.. na hivyo
ndivyo ilivyo hiyo picha ikija vingine basi..
haya sasa
kuna wale ambao watafanya wawezalo kumuweka mtu mwingine chini ili wao wajisikie
vizuri.. Hawana ile "Self esteem" mpaka wamponde au waongee maneno fulani mabaya
kuhusu mwingine...
either way
Dunia ni jalala la maonyesho..
Kiukweli kabisa Lizzy sio mtandaoni tu ingawa kwenye mtandao ndio inaweza kuwa asilimia kubwa ila hata huku mtaani unasikia mtu anasema yule dada ana miguu kama spoku za baiskeli wakati yeye hajajiangalia au hajui kuwa kuna watu na yeye wanamuongelea vile vile. Ila hii ya mtandaoni imekithiri sana mfano mzuri tu ni juzi pale BC kuna jamaa alikuwa kwenye Skype akasema mbona fulani (sitaki kutaja jina lake) sura yake nzito tofauti na avatar yake kwa kweli nilijisikia vibaya ila nikaamua kupotozea tu na huyo member aliyemsema hivyo mwenzake namkumbuka vizuri...

Lizzy pole bibie najua mashambulizi dhidi ya Young Master kwenye ile siredi yamekukwaza lakini ndiyo dunia ilivyo. Nafikiri siyo kwenye sura tu hata kwenye "core issues" za kitaifa watu wanawashambulia wenzao kwa sababu tu wao hawaonekani kiuhalisia wao. Kuna watu hapa ikiwekwa sheria ya kujitambulisha kiuhalisia wote watafutika ghafla!
Ukimwambia aweke ya kwake sasa...kuna msemo unaosema wale wanaoponda sura za wenzao mara nyingi huwa wanakuwa na inferiority complexLoh. . watu bana!!
Hapo angeambiwa aonyeshe yake tuone kama ni laini tofauti na anaemponda basi, kama tusingeshangaa basi tungekimbia!!
Lol...acha tu ndio mambo yalivyo mtaani mixer mtandaoni..duhhhhhhh TF nimejaribu kucheka lakini imeniwia vigumu...
Weee Kurwa unaweza ukawa unajiona ni mzuri ukahangaika kuponda wengine kweli?
Lizzy huku duniani kuna watu kazi yao ni moja tu, kujikweza wao na kuwashusha wenzao! Yaani mtu anahakikisha kila unachofanya/sema anakikosoa tena sio kwa lengo la kukusaidia ila kwa lengo la kukufanya uache kujiamini... Kwenye uzi wa YM hilo pia limejitokeza na asipoangalia anaweza akajishusha thamani na kuanza kujichukia, sijajua wametumia vigezo gani kukosoa ile picha yake manake kiukweli vile ndivo ambavyo Mungu amemuumba!... Kabla hatujamua kuwashambulia wenzetu mara sijui ana sura mbaya, miguu mibaya, anaenda kama anarudi hebu na tujitizame je unayeshambulia mwenzako wewe u mkamilifu kiasi hicho?Kigarama nilikua naifikiria hii ishu mapema kweli kwasababu nilishaona kipindi kile cha msiba Regia. . .
Ila hii ya YM kwakweli imezidi. Kuna wengine hata kama sio hapa hua wanasababisha wenzao wanapoteza kabisa kujiamini, na wale wadogo wadogo wanafikia hata kujiua.
http://www.metro.co.uk/news/870057-suicide-teen-natasha-macbryde-was-bullied-online-even-after-her-death
Mbaya sana, badala ya kuangalia mapungufu yao watafute namna ya kuyarekebisha ama kujipendezesha kama inawezekana wanakomaa na watu wengine.Sio mtandaoni, hata hadharani wapo wanaowaona wengine si chochote wakijilinganisha nao. Ila wanapopata nafasi ya kujitafakari wanajijua si lolote, hivyo kuneutralize ya moyoni kwa kinachotaka nafsi wanaishia kujikweza na kuwananga wengine
Uzuri upo ndani na nje. . . wanaochagua mmoja ndio wanaojiongopea.Uzuri na urembo upo ndani kwa nje mnajiongopea-FidQ
Ukimwambia aweke ya kwake sasa...kuna msemo unaosema wale wanaoponda sura za wenzao mara nyingi huwa wanakuwa na inferiority complex
Lol...acha tu ndio mambo yalivyo mtaani mixer mtandaoni..
Lizzy huku duniani kuna watu kazi yao ni moja tu, kujikweza wao na kuwashusha wenzao! Yaani mtu anahakikisha kila unachofanya/sema anakikosoa tena sio kwa lengo la kukusaidia ila kwa lengo la kukufanya uache kujiamini... Kwenye uzi wa YM hilo pia limejitokeza na asipoangalia anaweza akajishusha thamani na kuanza kujichukia, sijajua wametumia vigezo gani kukosoa ile picha yake manake kiukweli vile ndivo ambavyo Mungu amemuumba!... Kabla hatujamua kuwashambulia wenzetu mara sijui ana sura mbaya, miguu mibaya, anaenda kama anarudi hebu na tujitizame je unayeshambulia mwenzako wewe u mkamilifu kiasi hicho?
Shame on them indeed. . .Doto ,
Kumbuka kuna watu ambao hawaridhiki na walicho nacho ..
waweza kuwa wazuri wa kila kitu nje "mwili" lakini bado something is missing
kwa hiyo kwa wao kujisikia vizuri ni kupoteza muda wao kuponda au kutosifia
wengine ili nafsi zao ziridhike... Shame on them ...
Lizzy huku duniani kuna watu kazi yao ni moja tu, kujikweza wao na kuwashusha wenzao! Yaani mtu anahakikisha kila unachofanya/sema anakikosoa tena sio kwa lengo la kukusaidia ila kwa lengo la kukufanya uache kujiamini... Kwenye uzi wa YM hilo pia limejitokeza na asipoangalia anaweza akajishusha thamani na kuanza kujichukia, sijajua wametumia vigezo gani kukosoa ile picha yake manake kiukweli vile ndivo ambavyo Mungu amemuumba!... Kabla hatujamua kuwashambulia wenzetu mara sijui ana sura mbaya, miguu mibaya, anaenda kama anarudi hebu na tujitizame je unayeshambulia mwenzako wewe u mkamilifu kiasi hicho?
Shame on them indeed. . .
Wanahitaji somo la kujiamini!!