COARTEM
JF-Expert Member
- Nov 26, 2013
- 3,600
- 3,651
Magufuli chini ya kivuli cha CCM aliwaambia (MAGUFULI 4 CHANGE), akasema pia hiyo Peoples power nipeni mimi muone jinsi nitakavyowashughulikia Mafisadi na majizi ya nchi hii. Na akasema pia kuwa Mabadiliko ya kweli atayaleta yeye kwani sera yake kuu ni HAPA KAZI TU.
Upande wapili CHADEMA, CUF, NLD (UKAWA) wao wakafanya usajiri wa Edward Lowassa. Ukawa wakawa wanawafundisha vijana kuzungusha mikono, huku wakinadi sera yao ya MABADILIKO.
Uchaguzi umepita: Magufuli kaanza kazi kwa kasi ya ajabu, UKAWA wakasema Magufuli anatekeleza sera za ukawa. Lilipofika swala la ku-deal na wazembe, wanao/walioiingizia serikali hasara, wabadhirifu (KUTUMBUA MAJIPU) UKAWA ikaanza kuwatetea wabadhirifu wa mali ya umma.
Hivi mpaka hapa ninani mkombozi wa wazungusha mikono, masikini wa Tanzania?
TAFAKARINI NA MCHUKUE HATUA.