Wazungu wana mapenzi balaa!

Wazungu wana mapenzi balaa!

ni kwa sababu wanaume wao wamewazesha kwa kuwajengea nchi na jamii imara, wanaume ndiyo wanapaswa kujenga nchi na jamii imara hivyo ukiona jamii ambayo wanawake wao wamegeuka omba omba basi tatizo ni wanaume wa hiyo nchi na siyo wanawake kwani wanaume wanapswa kujenga jamii imara inayolinda na kutetea watoto na wanawake wao, hivyo kulaumu wanawake wa tanzagiza na kusifia wanawake wa USA wakati wewe ni mwanaume wa tanzagiza ni kukimbia majukumu yako kama mwanaume.

wanawake wa tanzagiza wamegeuka omba omba kwa sababu wanaume wameshindwa kujenga nchi, hivyo kosa ni la wanaume wa tanzagiza ...
 
Tukikuchekea wewe UTAJINYEA kabisa kitandani, hebu amka hapo kwenye huo ulimi wa mbwa 😂🤣
 
Hiyo Visa uliipataje mpaka ukafika huko Marekani? Au ulichoandika ni ndoto ulioota umelala na njaa ?😂
 
Wakupe hela kwani wao ndio wanakupanda
Acheni ndoto za alinacha
Hakuna free ride huko
Labda swingers tu
Kiswahili unachotumie hata hatukijui
 
Back
Top Bottom