Mc Zipompapompa
JF-Expert Member
- Dec 3, 2015
- 295
- 289
Huyo rafiki yako mfa maji tu, kwanza yeye kaiba bwana/hawala/mume wa mwenzake kutoka kwa Huyo "dada wa kiafrika toka nchi jirani" kama ulivyoandika sasa na yeye akinyanganywa(mwingine akiopoa kama yeye alivyo opoa kuna ubaya gani)Kuna rafiki yangu aliolewa na mzungu, alimuopoa mzungu toka kwa mdada mmoja wa kiafrica nchi jirani huko, kweli tuliona kapata bwana wa maisha maana alisema wazungu hawana mambo ya michepuko.Hata miaka haijaisha mitano kamuacha best yetu yupo na mchepuko mwingine wa Africa.
Tena huo mchepuko ulishafanya hadi movie za X ukienda Utube zipo kibao, wakwe wametumiwa picha na hyo mdada alieachwa za X na za huyo hawara wa mume wamesema haina shida, wamempenda mkwe mpya amuache tu mtoto wao.
Sasa najiuliza hawa wazungu vipi? Wanatuchukuliaje sisi waafrica? Kuna mapenzi kweli? Nasikia wazungu wanatumia waafrica vibaya sana.
Jukwaa la wakubwa ni lipi jamanduuh hapa leo nimetoka kapa nisoma thread yooote lakini giza tu sijui what is happening with my brain? nashindwaje kuelewa thread jamani? help please... msaada wa kueleweshwa jamani heeeeeeeeeeeeeeeeeeeelp.....
walitaka kumtigolize jamaa tu. tehe[emoji2] [emoji2] [emoji2]Kuna rafiki yangu alimpata mwanamke kwenye mtandao, wakaagana jioni wakutane wagegedane sasa kufika jioni huyu demu alimtext mshkaji wangu. Na kumwambia ana bf wake nae anataka kuja kugegedwa yaani huyu demu bf wake shoga kwahio hao wazungu wana mambo ya maajabu utashangaa ukiambiwa.