Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,877
Vipi kashafika mjini? maana wale wauza unga wanamsubiri kwa hamu kweli
Kumbe ndo mambo yao[emoji87][emoji87][emoji87][emoji87]Hakuliwa Kiboga?
basi kahakikisha kama wanayo au hawana, ulimwengu huu sio wa kuamini kirahisirahisikweli tuliona kapata bwana wa maisha maana alisema wazungu hawana mambo ya michepuko
ahahaaa
Kama ameshachwa ashukuru mungu ajue kua Rzki yake imekwisha,asijiudhi wala asijishushe thamani kwakutaka kumuaibisha mwengine,huo wanaoufanya hao watu ni uhasidi wa nyoka,kwani hata akiachwa huyo mdada yeye ana hakika gani ya kurudiwa na huyo bwana?
mzungu ataachaHakuliwa Kiboga?
Wengine wanapenda kule kwao ni kitu cha kawaida japo hilo tendo.ni siri ya watu wa 2 sijakataa musiolewe na wazungu ila muangalie na Mustakabali wa Afya zenuKumbe ndo mambo yao[emoji87][emoji87][emoji87][emoji87]
Kuna rafiki yangu aliolewa na mzungu, alimuopoa mzungu toka kwa mdada mmoja wa kiafrica nchi jirani huko, kweli tuliona kapata bwana wa maisha maana alisema wazungu hawana mambo ya michepuko.Hata miaka haijaisha mitano kamuacha best yetu yupo na mchepuko mwingine wa Africa.
Tena huo mchepuko ulishafanya hadi movie za X ukienda Utube zipo kibao, wakwe wametumiwa picha na hyo mdada alieachwa za X na za huyo hawara wa mume wamesema haina shida, wamempenda mkwe mpya amuache tu mtoto wao.
Sasa najiuliza hawa wazungu vipi? Wanatuchukuliaje sisi waafrica? Kuna mapenzi kweli? Nasikia wazungu wanatumia waafrica vibaya sana.
Eti ninasikia huyo dada alishauri wasichana wanaotaka kuolewa na wanaume wenye pesa wahame Sinza, kwakua wanaume wenye pesa hawakai maeneo hayo, wahame Ubungo, wahame Boko, na pia Tandale kwa Mtogole wote wahamie Masaki na Oyterbay kwenye apartments. Huko ndio powe of p.....y inafanya kazi.Kuna rafiki yangu aliolewa na mzungu, alimuopoa mzungu toka kwa mdada mmoja wa kiafrica nchi jirani huko, kweli tuliona kapata bwana wa maisha maana alisema wazungu hawana mambo ya michepuko.Hata miaka haijaisha mitano kamuacha best yetu yupo na mchepuko mwingine wa Africa.
Tena huo mchepuko ulishafanya hadi movie za X ukienda Utube zipo kibao, wakwe wametumiwa picha na hyo mdada alieachwa za X na za huyo hawara wa mume wamesema haina shida, wamempenda mkwe mpya amuache tu mtoto wao.
Sasa najiuliza hawa wazungu vipi? Wanatuchukuliaje sisi waafrica? Kuna mapenzi kweli? Nasikia wazungu wanatumia waafrica vibaya sana.
ahahaaa jamani mnanichekeshaMama wa mashauzi yanataka pesa, mama wa CL, mama wa Education is Sex.
kumbe yule shemeji ni mchafuzi bnaEti ninasikia huyo dada alishauri wasichana wanaotaka kuolewa na wanaume wenye pesa wahame Sinza, kwakua wanaume wenye pesa hawakai maeneo hayo, wahame Ubungo, wahame Boko, na pia Tandale kwa Mtogole wote wahamie Masaki na Oyterbay kwenye apartments. Huko ndio powe of p.....y inafanya kazi.
Take my word yule mwanaume ni mstaarabu sana lakini pale either ameumizwa sana na Mange ameamua kama mbwai mbwai au anatafuta mtu angalau na yeye afurahi amechoka maisha ya maigizo.kumbe yule shemeji ni mchafuzi bna
Education is "Sexy"Mama wa mashauzi yanataka pesa, mama wa CL, mama wa Education is Sex.
Mshauri rafiki yako atumie the power of p...sy Mange Kimambi alituletea formula.Kuna rafiki yangu aliolewa na mzungu, alimuopoa mzungu toka kwa mdada mmoja wa kiafrica nchi jirani huko, kweli tuliona kapata bwana wa maisha maana alisema wazungu hawana mambo ya michepuko.Hata miaka haijaisha mitano kamuacha best yetu yupo na mchepuko mwingine wa Africa.