Wazoefu wa mambo pitieni hapa

NI MTAZAMO TU

JF-Expert Member
Feb 20, 2014
1,203
999
Naomba kujuzwa,hivi kutuma gari toka ujeruman kwenda Tanzania ni lazima pia ipite kwenye ukaguzi kabla ya kufika tz..
Maana nasikia wakaguzi wapo England na japan tu. .sasa maeneo mengine kama ujeruman inakuwaje ?maana sijawahi kusikia kama kuna wakaguzi wa magari ujerumani.

Lengo naomba kujuzwa
NA utaratibu uliopo
 
BADILI TABIA
nashukuru sana kwa taarifa muhimu
Huwa kuna kiasi maalum (fixed )
AU inatokana na gari husika
 
Back
Top Bottom