Wazoefu wa iOS vipi kuhusu iphone 7

Wazoefu wa iOS vipi kuhusu iphone 7

Nakushauriii chukua iphone 7 plus .... sirikubwa ya iphone kuanzia 8 shuka chini ni plus devices ... zinakaaa na charge sanaaaa

Natumia 6 plus now ina 36% na nimeitoa kwenye charge saa kumi na moja na dkk 10 leo asubuhii

Sizim data mwanzo mwishoo

Iphone 7 plain itakusumbua charge kama wewe ni mtumizi sana simu

Note
Sio zote pamoja inadepend na matumizii yako


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Oooh kumbe naona bei ya 7 plus imesimama sana,kama ni ivyo ngoja nitafute 6s plus si iko vizur nayo
Nakushauriii chukua iphone 7 plus .... sirikubwa ya iphone kuanzia 8 shuka chini ni plus devices ... zinakaaa na charge sanaaaa

Natumia 6 plus now ina 36% na nimeitoa kwenye charge saa kumi na moja na dkk 10 leo asubuhii

Sizim data mwanzo mwishoo

Iphone 7 plain itakusumbua charge kama wewe ni mtumizi sana simu

Note
Sio zote pamoja inadepend na matumizii yako


Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nina alegi na simu kubwa kubwa aisee!sipendi kabisa kitu kinachoitwa plus mimi natumia plain tu,mashine moja matata iPhone X


Sent using IPhone X
 
Back
Top Bottom