Mi sipajui!
Natokea Ubungo naenda ofisi ya Kata Ndugumbi, naomba direction wana JF.
Maeneo ya ofisi ya mkuu wa wilaya kinondoni pale magomeni karibu na hospitali,magomeni kota,shule ya turiani kipande hicho ndio Ndugumbi,uliza utaelekezwa ofisi ya kata
Nenda magomen Mwembechai. Ulizia kanisa la wasabato. Ukuta wa kanisa unatazamana na ofisi za Kata.
Natokea Ubungo naenda ofisi ya Kata Ndugumbi, naomba direction wana JF.