Wazo zuri la biashara Arusha

Wazo zuri la biashara Arusha

Reward silayo

Member
Joined
Jun 25, 2016
Posts
38
Reaction score
10
Wanajukwaa kwanza habari za muda huu.

Aisee wazo la biashara kwangu limekua kizungumkuti nimewaza beyond the limit yaani hebu mwenye anaweza nipa wazo zuri la biashara maeneo ya Arusha ambayo mtaji wake sio zaidi ya 3.5M naomba anisaidie.
 
Fungua grocery weka wahudumu wa kike wawili jaza pombe hapo uone Midume inavyomimika kutoka pande zote za nchi.
 
Nakazia hapa.

Arusha ni mji mgumu sana kipesa lakini watu wanapenda kulewa.

Fungua grocery weka warembo wazuri utawapata hata madereva wa bodaboda,kwa nje weka kabati la kuuza chipsi,kuku,mishikaki.

Biashara zingine kwa Arusha sikudanganyi utapoteza tu mtaji wako ni pagumu mno
Fungua grocery weka malaya wawili jaza pombe hapo uone Midume inavyomimika kutoka pande zote za nchi
 
Back
Top Bottom