are you serious bwana majina mengi????Where is Jeetu Patel????
Najua kila moja atakuwa na mawazo yake ,,kwanza napenda kuchukua nafasi hii kumpa pole/kuwapa pole mh A.k.malecela na wana same kwa ujumla kwa haya yaliotokea....tunajua watanzania wote tuliwapenda ndugu zetu lakini MUNGU aliwapenda zaidi.....
Ndugu wapendwa kama mnavyoendelea kuona baadhi ya picha za maafa ya same tunaitaji kuwa na roho ya upendo kwa wale ndugu zetu walioathirika..zipo familia zimebakiza watoto hawana misaada,zipo nyumba zilizofyekwa,ndugu wapendwa zoezi hili tusimwachie wakina MENGI,KILANGO,TANGA CEMENT,na wengineo tunaomba tuchukulie kwa uzito...kwa mpango huu tunaomba tusaidie watu wale kwa hali na mali...na hasa zaidi SALA zako zinaitajika...kama unauwezo wa kufikisha chochote nii vizuri ukafanya hivyo ama ukauliza mawasiliano yoyote na MB MH A kilango....BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIBARIKIWE
...........
Haaaa !! What are his other names?are you serious bwana majina mengi????
haaaa !! What are his other names?
Well said Mkuu!! Yaani bora angeandika "Tuwasaidie wahanga wa maafa ya Same"Hoja yako ni mzuri sana, lakini kutanguliza kwamab tumsaidie mama kilango, for me it sound too political!!! never put serious social problems in political way!!! Sasa hapo hata kama Rostam alitaka kusaidia unafikiri atasaidia na thread yako hii!!! I don't like all politicians kwa kutaka kugeuza matatizo ya wananchi kufanya mtaji wa kisiasa!!!nimemuona mama kilango jana kwenye TV wakati analia!! ametia huruma sana, hata nami nikawa nakaribia kumuunga mkono kwa chozi lake!! hata hivyo, sina hakika endapo chozi lile ni la kuwahurumia wapiga kule wake, au ni chozi la mwanamke ambalo aghalabu halina spid gavana, au ni political tears!!!
are you serious bwana majina mengi????
No wonder umepata thanks kwa porojo hii wako wengi nyuma yako wanaojifanya kuwajua watu.
ACHA UZUSHI WEWE, mama Kilango anakujaje hapa? hii ni issue ya kitaifa wanatakiwa kusaidiwa waanga na hilo sio jukumu la KILAGO mpaka tumsaide yeye.
JAMANI HATA KWENYE MISIBA MNAPENYEZA KAMPEINI????????
Kesho mtaanza hata kuwa wadhamini wa misiba, utasikia tangazo MSIBA HUU UMEDHAMINIWA na Rosmeman.
My name is Junius...!!! Junius...!!! Junius...!!! Junius...!!!are you serious bwana majina mengi????
Anaweweseka tu...si unajuwa mafisadi style...wanataka wachunguzwe na majaji eti...aaah!!!Haaaa !! What are his other names?
Ningelikuwa CCM ningekukubalia...lakini Mungu kaniepusha na laana ya Chama Cha Mapinduzi a.k.a Mafisadi...wakiwemo hao wanaotajanatajana na wanaofadhiliwa na mafisadi halafu hawaishi kelelekele.fisadi