Wazo mbadala kwa wapinzani kama watendaji wanawakimbia

Lituye

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
1,862
5,680
Sasa tufikie muda wa vitendo maneno na malalamiko tumechoka. Kama wapinzani mnaenda ofisi za serikali kuchukua au kurudisha fomu mnakuta wamefunga ofisi na kuwakimbia zaidi ya mara mbili fanyeni hivi.

Rudini siku nyingine ya tatu asubuhi mpka jioni ikifika usiku hawajatokea, vunjeni milango huenda hao waharifu wamejifungia ndani. Na kama mtakuta hakuna mtu Chomeni moto hizo ofisi huenda zitakuwa ni maskani za waharifu na sio ofisi za serikali.

Haiwezekani ofisi ya serikali ikafungwa isitoe huduma kwa wananchi kwa sababu zozote zile. Tumechoka kubembelezana sasa. Dawa ya moto ni moto
 
Wadanganye waishie jera ,kuvunja na kuiba aijawahi kumuacha MTU salama


State agent
 
Ndio maana sitaki kujiingiza kwenye siasa za field maana kwa akili yangu navyoijua nawezaua mtu nikaipa tabu familia yangu.
 
Nafikiri wapige kambi tu, lakini wasivunje ofisi. Wao wapige kambi ikiwezekana wandishi wa Habari wa Azam media au ITV, Hata wengine wanaobalance story waje waone. Kwa sababu naona Kuna sarakasi nyingi Sana zinafanywa na ofisi za vitongoji.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom