Wazo la wiki

Wazo la wiki

Hata kipigo cha Sungusungu hakimzuii Changudoa kuuza mwili wake.
 
Kipigo cha mgambo hakipunguzi wamachinga...
 
Hata Ukubwa wa Pango haumzuii mwindaji kuwinda.
 
Hata ban ziwe kama mvua hazimtishi..........
 
Hapohapo mwanawane.

Duuh ! Semegi hiyo "hapohapo mwanawane!" nayo imekaa kitafsidatafsida! Ni kama vl wamwambia ntu akazie hukumu , kwa maana ya kukandamizia hanohano!
Mf. Kunako mabigijii ya spot with related matter!
 
Duuh ! Semegi hiyo "hapohapo mwanawane!" nayo imekaa kitafsidatafsida! Ni kama vl wamwambia ntu akazie hukumu , kwa maana ya kukandamizia hanohano!

Unapenda eee!
Ninatembea tembea mpaka Tandika,
Utamu unakuja halafu unakatika.
 
Jogoo hafi kwa wingi wa utitili wala ng'ombe kuelemewa na nundu yake
 
Back
Top Bottom