wazo la leo

mpemba mbishi

JF-Expert Member
Nov 27, 2011
1,132
185
Usiombe
kuwa na haraka halafu njian ukakutana na Rastaman akakusalimia utatamani ardh
ipasuke uingie mana rasta nusu saa haimtosh kusalimiana than wewe unachelewe.
Usiombe kuwa mzanzibar halafu ukamskia mtu wa mrima
(mtanganyika) akawa analalamikia mungano km unawanyonya wamrima utajuta
kwa nini umezaliwa ukawa mzanzibar au kwa nini hujafa kabla ya mungano.
 
Back
Top Bottom