ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,589
Hay wanajamvi
Mwenzenu nusura nianguke chini kwa kicheko nilichopata jana kwani sikutegemea
kitu kama kile nirushiwe hewani namna ile, na huyu mtu yeye ajui kuwa watu tuko
kwenye madaladala kwanini lakini ananipa kicheko na headache namna hiii.
Ngoja niwajuze nanyi mpate kucheka na msiendelee kula leo kwani mtaona mmeshiba
Ilikuwa hivi: Message send:
Wazo kuu: Hata Njiwa ANA MAKINDA YAKE, lakini katu hawezi kuwa Spika wa Bunge
hama kweli kwaaaaaaaaa kwaaaaaaa tehe tehe teheeeeeee zilijaa sana
Vipi mbavu zenu hazijaumia au mjatoka nje kuhema kwa juujuu mithili ya
ya nyoka anatoka shimoni