ukizingatia majan ni m1 wa maproduser hot waliochangia kusimamisha game la bongofleva liwepo hapa lilipo......wajipangheeeeeeeeeeNgoma ina beat kali sana,Majani iz bak..inabidi hawa maprodyuza wa siku izi wajifunze kitu kwa Majani uyu jamaa muziki wake na taste zake hazizeeki..mwaka huu unaweza kuwa mwaka wa Pfunk ana mikono ya hatari studio.
Pia ata Fid kampigia chorus kali sana uyo dogo kwenye iyo ngoma.
Kama huu wimbo wa stamina ni mzuri basi bongo hamna wimbo mbaya!..huu ni wakati watu inabidi wamshauri stamina atunge na si kuchukua maneno katika bajaj,mafuso na daladala na kuyaunganisha kisha kuita wimbo
mkuu embu tanabaisha vyema,mi nahisi ni mafuso na hizo bajaji usemazo ndo zinaandika hizo tungo baada ya kuzisikia toka kwa wasanii mbalimbali....au ujui ka msanii ni kioo cha jamii,so tungo ka izo za stamina zapokelewa kwa mitindo tofauti kwenye jamii kiasi wengine kuandika kwenye vyombo vyao vya usafiri nkKama huu wimbo wa stamina ni mzuri basi bongo hamna wimbo mbaya!..huu ni wakati watu inabidi wamshauri stamina atunge na si kuchukua maneno katika bajaj,mafuso na daladala na kuyaunganisha kisha kuita wimbo
Kama huu wimbo wa stamina ni mzuri basi bongo hamna wimbo mbaya!..huu ni wakati watu inabidi wamshauri stamina atunge na si kuchukua maneno katika bajaj,mafuso na daladala na kuyaunganisha kisha kuita wimbo
Bab we unajua mziki!stamina mweupe hana jambo...sikiliza agano la kale alivyogaragazwa na chipukizi mwenzake suma mnazareti!....roma japo ni mweupe lakini sikiliza line yake inayosema!"Patcho naye ni mwamba japo anakata viuno"....mstari huu ni dongo kwa joh makini,mistari sawa na huu mpaka kiama stamina hawezi kutunga ataishia tu..natamani kula burger naishia viazi vya gairomie nimependa beat ya Majani kali sana,na chorus ya Fid..stamina sijawai na sijui kama itatokea nikamkubali.mie sipendi kusikiliza ngonjera.
Ngoma ina beat kali sana,Majani iz bak..inabidi hawa maprodyuza wa siku izi wajifunze kitu kwa Majani uyu jamaa muziki wake na taste zake hazizeeki..mwaka huu unaweza kuwa mwaka wa Pfunk ana mikono ya hatari studio.
Pia ata Fid kampigia chorus kali sana uyo dogo kwenye iyo ngoma.
Hii track mashauri mazuri lakini hii beat PFunk amechemsha sio standard zake kabisa