Wazo la kutengeneza directory

Pandisha website kaka, maneno hayajengi..
Usijali mkuu tulikuwa tunadebate. Lakini haitaaffect kama napandisha website au la. Ni vizuri kubadilishana mawazo na uzoefu mara nyingi. Mfano umetoa tahatdari kwamba ukitumia adsense peke yake hutofanikiwa. Ka hiyo tunajifunza kupitia hizi interaction
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…