1. Marejesho baada ya miezi mitatu ina maana hii miezi mitatu ya mwanzo toka kuchukua huo mkopo ni "grace period"?
2. Nakushauri awekeze ktk biashara yenye mzunguko mkubwa japo faida ya kila bidhaa/huduma sio kubwa lkn faida ndogondogo ukikusanya mwisho wa siku unapata faida kubwa
3. Mfano wa biashara zenye mzunguko mkubwa ni biashara ya vyakula (foodshop) , biashara ya matunda na vinywaji fresh (fresh juice & fruits) kama mgahawa hv, biashara ya pesa (Mpesa, Tigopesa) kwa maeneo yenye watu wengi km vile stend nk