Wazo kwa mitandao ya simu

baiser

JF-Expert Member
Dec 29, 2014
1,478
2,226
Kama ilivyo kwenye kutumia mb ili uweze kuchat na kusoma SMS za kwenye WhatsApp na Facebook lazima wote muwe na vifurushi.

PENDEKEZO: Hata kupiga na kupokea simu mpigaji na mpigiwa wakatwa salio sawa na kama mmoja wapo hana salio basi mawasiliano yasipatikane kati yao kama ambavyo huwa chart WhatsApp au Facebook kama huna bundle.
 
hiyo ipo uganda, dubai pia ipo, haukatwi ila kama simu haina salio haupatikani,

sasa unapoleta wazo hilo kwetu sisi unaleta wazo mfu lisilo hata na maslahi wakati ni makabwela,
 
akha! hiyo mbaya kwenye swala zima la kupiga simu mtu unashida ya muhimu unamkosa mtu kisa yeye hana salio!
 
hiyo ipo uganda, dubai pia ipo, haukatwi ila kama simu haina salio haupatikani,

sasa unapoleta wazo hilo kwetu sisi unaleta wazo mfu lisilo hata na maslahi wakati ni makabwela,
Hao Uganda wana pesa gani kutuzidi??? Ni swala la Sheria. Ikipita haijali wewe ni kabwela au pondamali.
 
Kama ilivyo kweny kutumia mb .ili uweze kuchat na kusoma SMS za kweny WhatsApp na Facebook lazma wote muwe na vifurushi .PENDEKEZO :hata kupiga na kupokea simu mpigaji na mpigiwa wakatwa salio sawa na kama mmoja wapo hana salio basi mawasiliano yasipatikane kati yao kama ambavyo huwe chart WhatsApp au Facebook kama huna bundle
Faida zake ni zipi?
 
Ahsante kwa kushiriki
 
Wazo la kuendelea kutunyonya. Mitandao ya simu iweke mabando yanauoakisi maisha halisi ya mtanzania.
Wakimaliza ndio wapitishe hiyo sheria ya kinyonyaji.
 
Back
Top Bottom