Idea nzuri lakini naongezea na kitu kingne, kwa ambao wako karibu na unapoishi kuonana nao ana kwa ana ni rahisi na kuwapa huduma yako, lakini vipi walio mbali na mkoa uliopo?.
Hapo sasa ndipo mtandao wa Internet unapo close hilo gap. Record video tutorials weka youtube pata views piga pesa!.