Wazo chokozi: Wachezaji wa Zanzibar ni wachezaji wa kigeni katika ligi yetu ya bara

TAWA

JF-Expert Member
Jun 23, 2013
3,673
1,571
Kama Zanzibar ni mwanachama wa shirikisho la mpira Afrika CAF, na inatambulika kwa vilabu vyake toka Zanzibar kushiriki mashindano yanayoandaliwa na CAF.
Kwa nini wachezaji toka Zanzinar ambao wanakipga katika ligi yetu wasiwe wachezaji wakigeni nao wakawekewa limit kama toka nchi nyingine?
 
Wazanzibari ni "foreign players" huku bara, ndo maana wako vizuri sana technically ukilinganisha na watanganyika!
 
Tunazungumzia yetu hapa hayo ya wazungu kakae na watumwa wenzako myazungumze. I hate European football.

kama sio mfuatiliaji wa soka la kimataifa huwezi kuelewa sasa, maana hii case ipo mataifa mengi tu....na tanzania sio wa kwanza
 
Back
Top Bottom