Wazo biashara ya kulipia instagram

Wazo biashara ya kulipia instagram

godizila

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2016
Posts
846
Reaction score
387
Wakuu naomba mrejesho kuwa na tangazo ninalolipia Instagram ikoje maslahi??
 
Mkuu swala sio kulipia swala ni STRATEGY kulipia ni sehemu ndogo sana ya Process ya Kutangaza.

Kama unahitaji msaada wa namna bora ya kufanya matangazo ya Instagram eleza unataka kutangaza nini?kwa muda gani,kwa gharama gani na kwa lengo gani.

Kwa msaada zaidi tuwasiliane
 
Kufundisha tuition majumban namfata mtoto alipo......,
 
Kufundisha tuition majumban namfata mtoto alipo......,
Ok,technically unauza huduma?Una smart phone yenye uwezo mzuri wa kurecord video na picha?Unao wanafunzi wangapi mpaka sasa?Unachaji kiasi gani?Unafundisha masomo gani?level gani?Kama unaona majibu kuweka hapa ni complex dm iko wazi.
 
Back
Top Bottom