Mchungaji una utani mbaya...Poleni sana wafiwa hasa kipindi hiki kigumu!
Poleni sana wafiwa hasa kipindi hiki kigumu!
Poleni sana wafiwa hasa kipindi hiki kigumu!
Mchungaji mbona unatustua, ujui wengine ni wazazi wetu mch please be serius bwanaPoleni sana wafiwa hasa kipindi hiki kigumu!
Poleni sana wafiwa hasa kipindi hiki kigumu!
Poleni sana wafiwa hasa kipindi hiki kigumu!
Simfahamu vuzuri huyo, lakini kwa vile ni binadamu na binadamu wote ni ndugu basi pole kwake. Ila akipona akumbuke kumshukuru mungu. Na kwamba, agaili vitendo vyote vya dhuruma, rushwa na ufisadi uliyokithiri chamani kwao (CCM) na serikali yake.
Alikua anaenda kula pasaka moshi nini?maana mchaga bila kwenda x mas na pasaka moshi anajiona hayupo duniani