Waziri wa Viwanda Biashara, Charles Mwijage amtumbua Mkurugenzi wa BRELA, Frank Kanyusi

kiukwelii BRELA na hiki kigezo chao cha Nation ID..wanatukwaza sana sanaa..
ushaurii embu waweke m.badala kwa kipindi hiki ID hazijawa tayari..tunakwazika sanaaa
 
Acha tu niwe na roho mbaya ila ukweli ni kwamba Jamaa alikuwa hana uwezo. Alizoea kuendesha shirika kiunjanja ujanja huku akitegemea zaidi msaada wa walio chini yake.

Kuna walio chini yake wana uwezo mkubwa sana sana. Na ndio walikuwa wanaendesha shirika
 
Duh! Acha roho mbaya mkuu,kwani nini kufurahia mwenzio kutumbuliwa?
Acheni hizi roho za kimaskini watanzania wenzangu
Mkuu siku hizi wakulima wamekuwa na roho mbaya sana, yaani ukipata shida wanafurahi ile mbaya! Sasa lililobaki kama na wewe unatoa huduma kwa wakulima wagonge bei mpaka wakome!
 
Acha tu niwe na roho mbaya ila ukweli ni kwamba Jamaa alikuwa hana uwezo. Alizoea kuendesha shirika kiunjanja ujanja huku akitegemea zaidi msaada wa walio chini yake.

Kuna walio chini yake wana uwezo mkubwa sana sana. Na ndio walikuwa wanaendesha shirika
Ndugu sidhani kama ni sahihi kuongea usiyoyajua.Unajua amekuwa mtumishi wa Brela kwa miaka mingapi kabla ajawa CEO? Pia unazotaarifa kuwa alikuwa anakuwa within Organization? Je unajua kabla hajawa CEO alikuwa position gani? Eti hatui kazi anasaidiwa na wachini yake.
 
Frank hakuwa na uwezo wa kuwa CEO bana. Tuongee ukweli. Alipata nafasi hiyo kwa lobbying tu. Huyu Kaimu wa sasa Kakwezi ana uwezo mkubwa sana sana sana kuliko Frank... Hata presentation zake zilikuwa zinaandaliwa na Kaseli, Shani na wengine.

Kingereza chenyewe hajui. Sasa angewezaje kufanya presentation ya proposal huko ulaya..?
 
Bado yule wa dawasco luhemeja . Waziri wa maji na umwagiliaji achukue hatua. Tapeli la kisukuma lile
 
Frank hakuwa na uwezo wa kuwa CEO bana. Tuongee ukweli. Alipata nafasi hiyo kwa lobbying tu. Huyu Kaimu wa sasa Kakwezi ana uwezo mkubwa sana sana sana kuliko Frank... Hata presentation zake zilikuwa zinaandaliwa na Kaseli, Shani na wengine.

Kingereza chenyewe hajui. Sasa angewezaje kufanya presentation ya proposal huko ulaya..?[/QUOTE
]KWELI
 
Ili Nchi Iendelee Inahitaji :-
1 . Watu
2 . Siasa Safi
3 . Uongozi Bora
4 . Ardhi
 
b8b7d751-64a7-4f60-aba9-e26ef1a41fd4.jpg
 
Back
Top Bottom