Umepiga Simu ya emergency ya TANESCO wakakuelezaje. Wapigie Kama hujafanya hivyoNdugu wanajf nimekuwa nikifuatulia kwa karibu sana jinsi waziri wa nishati prof. muhongo anapolidangaya taifa letu kuwa hakuna mgao wa umeme. Je anafanya hivyo kwa maslahi ya nani wakati nchi ipo gizani? Leo nimefuatilia na kugundua kuwa zaidi ya mikoa kumi haina umeme. Hivi huyu ni prof kweli au ni prof kama vile wale wanaojiita hivyo? Namuomba aache mara moja kulidanganya taifa maana ulimwengu wa sasa si kama wa miaka ya arobaini na saba aliyozaliwa yeye! Kama ataendelea na uongo wake wanajf tuitishe maandamano ya kudai umeme na pia kumtaka waziri muhongo achie ofisi ya umma maana bado hatujafikia kuongozwa na waziri muongo.
Dar si salama tena, umeme, maji, foleni na kila aina ya bughudha, jamani karibuni mikoani, Songea huku umeme 24/7.
Umesomeka mkuu but for now tuna-enjoy.Hakuna usalama wowote songea. Hatuchekan mkuu maana huo umeme sio wa grid so yale mafuta machafu yakikosekana huwa mnamaliza hata wiki bila umeme. Cha msingi ni kudai umeme kwa watanzania wote bila kujal.ni dar au tunduru
Poleni sana nduguzanguni.
Habari kama hizi zinaua moyo sana hata kama mtu unakusudia kurudi nyumbani.
Labda kama una mpango wa kupigana vita juu kabisa zinaweza kukutia moto kwamba utarudi kuzikabili.
Otherwise frustrations tu.
Ndugu wanajf nimekuwa nikifuatulia kwa karibu sana jinsi waziri wa nishati prof. muhongo anapolidangaya taifa letu kuwa hakuna mgao wa umeme. Je anafanya hivyo kwa maslahi ya nani wakati nchi ipo gizani? Leo nimefuatilia na kugundua kuwa zaidi ya mikoa kumi haina umeme. Hivi huyu ni prof kweli au ni prof kama vile wale wanaojiita hivyo? Namuomba aache mara moja kulidanganya taifa maana ulimwengu wa sasa si kama wa miaka ya arobaini na saba aliyozaliwa yeye! Kama ataendelea na uongo wake wanajf tuitishe maandamano ya kudai umeme na pia kumtaka waziri muhongo achie ofisi ya umma maana bado hatujafikia kuongozwa na waziri muongo.
ukirudi tz utakuwa chizi,endelea kuenjoy ma wallmat,ma kfc,ma super bowl ma shopping malls,ma nba, ma mtv skyscraper na makila kituPoleni sana nduguzanguni.
Habari kama hizi zinaua moyo sana hata kama mtu unakusudia kurudi nyumbani.
Labda kama una mpango wa kupigana vita juu kabisa zinaweza kukutia moto kwamba utarudi kuzikabili.
Otherwise frustrations tu.