Kwa sasa mfumo wa ajira unaruhusu watu kuomba kazi kwenye vituo wanavyo vipenda moja kwa moja lakini hata hivyo suala la uhamisho linachagizwa na mambo mengi ambayo yanafanya watu wahame mfano kuugua, kuuguliwa, matatizo ya kifamilia, na imani za kishirikina.
Kwahiyo hata kuomba kwenye kituo cha kazi directly bado sio mwarobaini wa tatizo. Atleast serikali iboreshe mazingira ya vijijini au kutoa motisha kwa walimu wanaopangiwa vijijini itasaidia kupunguza tatizo kwa kiasi fulani