Aaron
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 3,019
- 4,693
Waziri wa maingira januari makamba amepiga marufuku utumiaji wa pombe aina ya viroba kwamba vinachangia uchafuzi wa mazingira.... Ni jambo jema ila nauliza wakibadili kifungashia (packages) vitaruhusiwa???
Nilitegemea waziri wa afya afanyr kazi hii...kwa kigezo cha kiafia yaani madhara kwa watumiaji kiafya...
Makamba mazingira yamekushinda Nina hakika hata viroba vikidhibitiwa kwa 100% bado IPO mifuko mingi ya plastic inazagaa mitaani....na dar inaongoza kwa uchafuzi huu wa mazingira....umeshindwa kuwa mbunifu mbona Rwanda wameweza au utasema Rwanda ni ndogo?? Kijana kuwa wa mfano kwa wizara hii mwaka Mzima ofisini hujafanya lolote zaidi ya naibu wako kuonekana kama waziri... Au hukupendezwa na uteuzi kwa wizara hii???