Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 56,667
- 30,584
Nitoe malalamiko yangu hasa pale tunapoendelea kuendekeza ada za nchi kulipwa kwa Dola.
Mhe waziri ukishirikiana na Rais, embu ondoeeni hizi shida jamani kwani sisi TZS haina thamani ama? Na kwanini kila payments tunakimbiliaa dola dola?
Hamuoni mnawaumiza wahusika pale Dola inapopanda na huku mkinufaika?
Embu tufike tukae tuangalie tunawasaidieje watanzania. Ni kweli huko nyuma hatukuwa na serikali ya upendo wala ya kujali watanzania, now tuseme imetosha!
Wananchi walipe kwa TZS tu.