Waziri wa madini: Hakuna mtu aliyeahidi NOAH tuache siasa kwenye rasilimali za taifa, Ciza aiboresha Clouds 360

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,915
141,874
Waziri wa madini Dotto Biteko amesema hakuna mtu aliyeahidi gari za Noah kwa kila mtanzania kufuatia makubaliano yetu na Barrick

Mh Dotto amewataka wanasiasa kuacha kufanya siasa kwenye rasilimali za nchi bali yatupasa wananchi wote tuwe kitu kimoja.
Dotto amesema muda si mrefu wapingaji wote wataunga mkono harakati hizi za serikali kwa sababu namba hazidanganyi.

Kadhalika Barrick na Acacia wameshakubaliana namna ya kutulipa kile kishika uchumba walichotuahidi hadharani na Mwenyekiti wa kamati Prof Kabuni atalieleza taifa hivi karibuni.

Meneja wa Clouds 360 mtangazaji Ciza aliongoza mahojiano hayo na kwa kweli huyu bwana mdogo ameboresha sana kipindi tofauti na wale wapiga soga za vijiweni Ngoma na Sasali.

Source Clouds tv
Maendeleo hayana vyama!
 
Ina maana jiwe alikurupuka kama kawaida yake?
 
Tunajua hilo,tulitoka Noah kila mtanzania mpaka balimi ndogo 6 kila mtanzania na tukakubali basi tulewe tu!Hata balimi nazo mnazingua,kwakweli mimi nitajilipa tu,balimi zangu mtazilipa kivingine!!!

Naunga mkono hoja,Ciza yuko vyema sana kuliko hao wasaka teuzi Hassan Ngoma na Sassali!
 
Noah ilisemwa kiutani tu, nae Biteko asijisahau sbb kapata uwaziri, mh. Rais alisema tungelipwa $ 190 bil, kila mtanzania angeweza miliki Noah moja, ndio utani wa Noah ulipoanzia.. Ilikuwa ni joke tu kuburudisha watu tu..!!
 
Yeye alikuwa akijibu swali la mdau!
 
Ciza yupo vizuri sana,inabidi tuwe na journalist wa aina yake na sio makanjanja..

Huyu bwana mdogo yupo vizuri

Good thing ni kwamba Cloud's wakiona mtu ana potential hawasiti kumpa nafasi..

Interview ilikuwa poa sana
 
Ciza yupo vizuri sana,inabidi tuwe na journalist wa aina yake na sio makanjanja..

Huyu mwana mdogo yupo vizuri

Good thing ni kwamba Cloud's wakiona mtu ana potential hawasiti kumpa nafasi..

Interview ilikuwa poa sana
Hahahaa...... Makanjanja zamu yao ni j3 - Ijumaa
 
Waziri wa madini Dotto Biteko amesema hakuna mtu aliyeahidi gari za Noah kwa kila mtanzania kufuatia makubaliano yetu na Barrick

Mh Dotto amewataka wanasiasa kuacha kufanya siasa kwenye rasilimali za nchi bali yatupasa wananchi wote tuwe kitu kimoja.
Dotto amesema muda si mrefu wapingaji wote wataunga mkono harakati hizi za serikali kwa sababu namba hazidanganyi.

Kadhalika Barrick na Acacia wameshakubaliana namna ya kutulipa kile kishika uchumba walichotuahidi hadharani na Mwenyekiti wa kamati Prof Kabuni atalieleza taifa hivi karibuni.

Meneja wa Clouds 360 mtangazaji Ciza aliongoza mahojiano hayo na kwa kweli huyu bwana mdogo ameboresha sana kipindi tofauti na wale wapiga soga za vijiweni Ngoma na Sasali.

Source Clouds tv
Maendeleo hayana vyama!

Masahihisho kidogo huyo Ciza siyo Meneja wa Cloudstv360 bali Yeye hapo ni Mkuu wa Kitengo cha Ubunifu na Meneja wa hicho Kipindi ni Mwanamama Babie Kabae. Hata hivyo ukiniambia leo hii nichague Mtangazaji mwenye Akili kubwa na nyingi hapo CMG ambaye anawazidi karibia wote basi atakuwa ni huyo Ciza na labda wa Kumfuatia ni Masoud Kipanya pekee.
 
Kwaheri NOAH. Kwahiyo anatupatia nini badala ya Noah? Zitto kaandika hata zile dola milioni 300 Barick watakata za kwao wanazotudai ambazo zinazidi hizo. Watabakia wanatudai.

Pia nasikia hata kesi ni marufuku kusikilizwa bongo endapo tutatofautiana. Na ule mchanga tuliozuia wanabeba bure bila kuhojiwa.

Na economic benefits tulizodai tutagawana pasu kwa pasu ni ile profit ya mwisho wa mwaka ambapo huwa mara nyingi wanadeclare loss.

Yaani kichwa kinauma.

DRAMA ZIMEANZA MAPEMA SANA.
 
Ahsante mkuu kumbe meneja ni yule dada aliyemleta Jaguar!
 
Kwaheri NOAH. Kwahiyo anatupatia nini badala ya Noah? Zitto kaandika hata zile dola milioni 300 Barick watakata za kwao wanazotudai ambazo zinazidi hizo. Watabakia wanatudai.

Pia nasikia hata kesi ni marufuku kusikilizwa bongo endapo tutatofautiana. Na ule mchanga tuliozuia wanabeba bure bila kuhojiwa.

Na economic benefits tulizodai tutagawana pasu kwa pasu ni ile profit ya mwisho wa mwaka ambapo huwa mara nyingi wanadeclare loss.

Yaani kichwa kinauma.

DRAMA ZIMEANZA MAPEMA SANA.
Huyo Zitto ni kibaraka!
 
Back
Top Bottom