Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,893
- 16,317
ushasema kampuni binafsi,ndugu zangu katika jamiiforums, bila shaka wote mu wazima wa afya,
baada ya waziri wa kazi kuamuru kufanyika kwa zoezi la ukaguzi wa vyeti kwa watumisi wote wa mashirika ya umma, atakuwa na mpango gani kwa watumishi wa sekta/makampuni binafsi walioajiriwa kwa ujanja ujanja na baadhi kwa kutoa rushwa za ngono ama kutumia vyei visivyo halali. ninafahamu fika ya kuwa waziri wa kazi (serikali) has limited scope juu ya namna ya uendeshwaji wa mashirika na kampuni binafsi, lakini wafanyakazi ****** waliopo na kujaa huko katika kampuni binafsi wanaumiza uchumi wa nchi yetu kupitia utoaji wa huduma mbovu na zisizokidhi viwango. naomba kuwasilisha.
kaka, sawa ni kampuni binafsi lakini zinaathari sana kwa uchumi na ustawi wa taifa endapo hazitafuatiliwa kwa ukaribu sana. kumbuka huko kuna makanjanja wengi sana wamejaa believe me mkuuushasema kampuni binafsi,
Mkuu, usipoteze muda! Wewe kuna mtu anakupangia jinsi ya kuendesha familia yako??kaka, sawa ni kampuni binafsi lakini zinaathari sana kwa uchumi na ustawi wa taifa endapo hazitafuatiliwa kwa ukaribu sana. kumbuka huko kuna makanjanja wengi sana wamejaa believe me mkuu
Labda kampuni yako kampuni zinazowaza kutengeneza faida awafanyi makosa kwenye kuselect staff wao hata kidogo.ndugu zangu katika jamiiforums, bila shaka wote mu wazima wa afya,
baada ya waziri wa kazi kuamuru kufanyika kwa zoezi la ukaguzi wa vyeti kwa watumisi wote wa mashirika ya umma, atakuwa na mpango gani kwa watumishi wa sekta/makampuni binafsi walioajiriwa kwa ujanja ujanja na baadhi kwa kutoa rushwa za ngono ama kutumia vyei visivyo halali. ninafahamu fika ya kuwa waziri wa kazi (serikali) has limited scope juu ya namna ya uendeshwaji wa mashirika na kampuni binafsi, lakini wafanyakazi ****** waliopo na kujaa huko katika kampuni binafsi wanaumiza uchumi wa nchi yetu kupitia utoaji wa huduma mbovu na zisizokidhi viwango. naomba kuwasilisha.
mkuu, mimi nimepita huko na ninajua fika madudu yanayofanyika chini ya kapeti huko aisee, kuna watu makanjanja wa kutisha huko kakaLabda kampuni yako kampuni zinazowaza kutengeneza faida awafanyi makosa kwenye kuselect staff wao hata kidogo.
sawa, hayo ni kulingana na maoni yako siwezi kukupingaSekta binafsi inapima waajiriwa wake kwa uzalishaji wao na sio lazima kwa makaratasi ya vyeti.
Hila sio zote.mkuu, mimi nimepita huko na ninajua fika madudu yanayofanyika chini ya kapeti huko aisee, kuna watu makanjanja wa kutisha huko kaka
mkuu secta binafs wa naangalia uzalishaji siyo vyeti mkuu mm na cha kubumba tecnition but wamekuja wahandis wana dgrii ya mlimani but kwangu wamechemka kwa production nayofanyamkuu, mimi nimepita huko na ninajua fika madudu yanayofanyika chini ya kapeti huko aisee, kuna watu makanjanja wa kutisha huko kaka
Tulieni mkaguliwe. Kila jambo lina taratibu zake. Kufoji cheti ni CRIMINAL OFFENCE na lazima adabu ifuate mkondo wake. Haiwezekani wenzenu wasome kazi mfanye nyie kwa ujomba na Ugod FatherSekta binafsi inapima waajiriwa wake kwa uzalishaji wao na sio lazima kwa makaratasi ya vyeti.
mchane mkuu maana haelewi maana ya secta binafs huku wanaangalia uzoefu hawaangalii vyeti mkuuSekta binafsi inapima waajiriwa wake kwa uzalishaji wao na sio lazima kwa makaratasi ya vyeti.
kaka umepigika ikulu nini? soon they will be there, it's just a matter of time and patience, just wait and seeHii style mnayoenda nayo mwisho mtataka sasa hadi wafanyabiashara nao wakaguliwe vyeti, mwisho mtasemaa hata wamiliki wa mitandao e.g. Jf wawe na vyeti vya IT, mtataka hata wasanii lazima wawe wamesomea sanaa na wana vyeti n.k .... Kagueni huko huko kwenye sekta zenu za umma
Unaogopa nini katuni? Kwani kuna sehemu uhalifu unaruhusiwa? Au unataka ifikie sehemu wananchi wasione umuhimu wa kusoma?Hii style mnayoenda nayo mwisho mtataka sasa hadi wafanyabiashara nao wakaguliwe vyeti, mwisho mtasemaa hata wamiliki wa mitandao e.g. Jf wawe na vyeti vya IT, mtataka hata wasanii lazima wawe wamesomea sanaa na wana vyeti n.k .... Kagueni huko huko kwenye sekta zenu za umma
nitakuwa nimewapiga ikulu na sio bure, kwa awamu hii ya JPM inayozingatia ubora kwa sekta zote zinazogusa uchumi wa nchi ni lazima waje mpaka hukomchane mkuu maana haelewi maana ya secta binafs huku wanaangalia uzoefu hawaangalii vyeti mkuu
kaka, nadhani wewe tupo pamoja. vijana wanajua wapo huko for the sake of connections walizonazo na sio weledi wa kitaaluma ndio maana wanaweweseka humuUnaogopa nini katuni? Kwani kuna sehemu uhalifu unaruhusiwa? Au unataka ifikie sehemu wananchi wasione umuhimu wa kusoma?
kaka, sawa ni kampuni binafsi lakini zinaathari sana kwa uchumi na ustawi wa taifa endapo hazitafuatiliwa kwa ukaribu sana. kumbuka huko kuna makanjanja wengi sana wamejaa believe me mkuu
Watanzania kwa kujitoa fahamu hatujambo. SEKTA BINAFSI, puh...acheni unafiki na wehu wa kujifanyisha. Kipindi fulani hapa nyuma, Waziri wa Kazi alitoa agizo kuwa Makampuni ya Kimataifa (binafsi hayo) yasiajiri mfanyakazi kutoka nje ikiwa anaweza kupatikana hapa mwenye elimu hiyo. Hapo hakuna aliyesema ni sekta binafsi kwa hiyo waachiwe wafanye wanavyojisikia, ila mkisikia jambo linalobana upande wetu ndio mnajua sekta binafsi.mchane mkuu maana haelewi maana ya secta binafs huku wanaangalia uzoefu hawaangalii vyeti mkuu