Waziri wa elimu wizara imekushinda???? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waziri wa elimu wizara imekushinda????

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by activisty, Oct 3, 2012.

 1. activisty

  activisty JF-Expert Member

  #1
  Oct 3, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 315
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  KATIKA waraka wa elimu no.5 mwaka 2012 uliotolewa na wizara ya elimu tar 21/9/2012 ambao unajumuisha mabadiliko ya mihula kwa shule za msingi,sekondari na vyuo vya ualimu grade A ikiwa tu na sababu ya KUFELI KWA WANAFUNZI kutokana na usahihishaji wa MITIHANI YA TAIFA unaofanywa kipindi cha masomo yani ndani ya mihula ya masomo na hivyo wizara kubadili mihula hiyo hususanani KIDATO CHA SITA ambao saivi watakuwa wakifanya mtihani mwezi wa tano badala ya mwezi wa pili!!!NINGEPENDA KUIJULISHA WIZARA YA ELIMU KUWA, MFUMO MBOVU WA ELIMU TANZANIA NDIO SABABU YA KUFELI KWA WANAFUNZI NA MABADILIKO HAYA HAYANA MSINGI WOWOTE WA KUFAULU WANAFUNZI.LAZIMA wiaraitazame mfumo wa elimu upya na waangalie sababu za msingi zinazofanya wanafunzi wafeli kama NYENZO MBOVU ZA UFUNDISHIAJI,UHABA WA MAHABARA ZA KUJIFUNZIA,MISHAHARA MIDOGO KWA WALIMU NA HALI NGUMU YA MAISHA HUSUSANI VIJIJINI INAYOSABABISHA WALIMU KUSHINDWA KUFUNDISHA KWA MOYO,MIKAKATI MIBOVU YA WIZARA KAMA KUPITISHA WATU FREE KIDATO CHA PILI NA DARASA LA SABA,NA USIMAMIZI,UTUNGAIJI NA USAMBAZAJI WA MITIHANI YA TAIFA na wasituletee sababu DHAIFU kama hiyo ya kubdili mihula!!!Kwanza wanakatisha tamaa ya kusoma kwa WANAFUNZI WA KIDATO CHA SITA ambao walijiandaa kwa mtihani MWEZI WA PILI.pia inaonyesha udhaifu wa wizara ya elimu katika kutatua tatizo la KUFELI KWA WANAFUNZI NCHINI!!!WAZIRI NA WASHIRIKA WAKO kama wizara imekushinda JIUZULUUU!!!!!
   
Loading...