Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 56,667
- 30,585
Kama mnaipenda Tanzania mnahitaji kuwa wasomi basi serikali kupitia waziri wa elimu huna budi kurudisha viwango vya zamani vya elimu ambavyo ulivisimamia kwa moyo wako wote, leo Mungu amekupa tunda la uvumilivu.
Tunaomba mama yetu, tunahitaji wasomi, turejesheeni viwango vya zamani.
Tunaomba mama yetu, tunahitaji wasomi, turejesheeni viwango vya zamani.
Last edited by a moderator: