Waziri wa Afya ummy Mwalimu aendeleza kasi yake, leo aibukia bohari kuu ya madawa Tanzania

Jumaaly

Member
Sep 5, 2015
74
21
Waziri wa Afya maendeleo ya jamii jinsia wazee na watoto Ummy Mwalimu leo amefanya ziara bohari kuu ya madawa Tanzania kulia ni Mkurugenzi laulian Bwanakunu wa MSD akimueleza changamoto na mapungufu ya madawa
Hii ni katika kuendana na kauli mbiu ya #HAPAKAZITU ya mhe rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr John Pombe Magufuli
#sasakazitu
 

Attachments

  • 1451557903802.jpg
    1451557903802.jpg
    41.6 KB · Views: 51
  • 1451557925527.jpg
    1451557925527.jpg
    39.3 KB · Views: 54
Ni mbunge wa jimbo gani?
Hajawahi kugombea Jimbo yy ni viti maalaum tu!
Watz bana sisi tunataka dawa hospitali sio kutembelea MSD kwake!Mbona sioni nafuu yyt kwa yy kuwa waziri na kutupatia huduma nzuri za afya hapa Kyela?

Serikali ya JPM ni serikali ya watu wa Dar?
 
Huyu dada cheo naona kama kinampa kiwewe kweli...anafanya ili aonekane sana,ila sidhani kama ni kichwa kiivyo

Yaani anaforce highlight reel kwenye taarifa ya habari,hana kipaji kiivyo
 
Back
Top Bottom