Jamani hivi vichwa vya habari mjaribu kuviweka sawa.Maana mimi nilikuwa nishaanza kufikiri Profesa Mwakyusa toba yarabi wamekuzulia nini mzee wa watu, maana nikimfikiria mzee yule integrity yake na DVD ya ngono tofauti.
Kwenye issue ya accountability, rais Karume (mtoto)alisema best alipoulizwa kuhusu kuwajibishwa kwa waziri wake mmoja.Alisema bluntly kwamba waziri hawezi kujiuzulu kwa sababu hatuna utamaduni wa kujiuzulu, mind you, hakumtetea waziri kwamba hajafanya kosa au uchunguzi unaendelea, alisema simply and clearly, hatuna utamaduni wa kujiuzulu, with a straight face and no shame!
hivi bongo ukijiuzulu,utafanya nini,kama yangekuwepo basi viongozi wengi wagejuzulu au kuomba kusitaafu kwa hiyari yao wenyewe.hivi kuna mtu anajua umri wa mramba,kingunge,chenge,na vizee vingine
Nilikuwa nasikiliza BBC swahili wakamgusia aliekuwa wazir wa AFYA wa Malaysia kujiuzulu na kukiri kwake Uzinifu.
Breaking News, World News & Multimedia
nafikiri ukigoogle unaweza pata news zaid. Mjadala huu naomba tuujadili kwanini VIONGOzi WETU WA TZ hao hawataki kujiuzulu hata wakiona wamechemsha kukubwa. Pia KESI ya UZINIFU ni kesi mbaya ambayo wenzetu wanaonesha ujasiri wa KUKIRI na kuachia MADARAKA...