jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 35,950
- 29,532
Kumekuwepo na wimbi la wanahabari kuripoti habari za afya kimihemko!
Waandishi wa habari wanaonesha picha za ndani ya vyumba vya wadi bila kujali confidentiality ya wagonjwa.
Waandishi wa habari wanaripori habari conclusively bila kujua kitaalamu nini kimejiri.mfano hospitali yasababisha kifo kwa mjamzito kwa sababu ya kukosa damu bila kuwa na details za ugonjwa na huduma aliyotakiwa kupewa mgonjwa...
Tabia hii inajenga mahusiano mabaya kati ya wagonjwa na watoa huduma.