waziri wa afya afanya ziara muhimbili

waziri wa afya afanya ziara muhimbili

Jackbauer

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2010
Posts
6,068
Reaction score
2,225
wakati mgomo wa madaktari na wauguzi ukiendelea,waziri wa afya ametembelea hospitali ya taifa muhimbili.mara baada ya kufika baadhi ya wagonjwa walipelekwa kwenye mabenchi na kuanza kupigwa picha.kwa upande wa MOI na EMD hali bado ni mbaya,mfano profesa ambaye ni mkuu wa kitengo cha wagonjwa wa dharura alionekana akifanya kazi peke yake.naendelea kutafuta taarifa zaidi kutoka sources zangu zilizosambaa nchi nzima.
 
Sarungi wakati wake alikuwa anaingia kazini hali ikibidi naye afanye hivyo!
 
Back
Top Bottom