Waziri; TANESCO imeshindwa.....


Ukitaka kujua undani wa kwa nini TANESCO inaishia kaburini uliza vishoka wa Dar watakupa mkanda wote.
 
Tumechelewa kuliona hili.

Hili lilionekana muda sana tatizo ni msema kweli ni mdaku na mchonganishi.
Ingetia fora kama magufuli angeongeza moto wake juu ya kile kizuizi cha barabara pale maeneo ya ubungo milk
 
Umeme unakatwa ovyo, yet MGAWO hautangazwi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…