siyoi koroi
Senior Member
- Sep 6, 2016
- 177
- 214
Waziri ofisi ya Rais Tamisemi mh George simbachawene leo ametembelea halmashauri ya meru kwenye maeneo tofauti ikiwemo shule ya secondary kismiri.
katika ziara hiyo mh simachawene aliongozana na mkurugenzi wa halmashauri ya meru ndugu christopher kazeri. Mkuu wa wilaya ya Arumeru ndugu Alexander mnyeti na viongozi wengine kadhaa wa kiserikali
jambo la kusikitisha ni kuwa pamoja na kuwa mh simbachawene ni kiongozi aliyechaguliwa na watu kwa maana ya mbunge kwenye ziara yake hakuambatana na kiongozi yeyote aliyechaguliwa na wananchi kwa maana ya madiwani.
mwenyekiti wa halmashauri ya meru mh Willy Njau amefika ofisini kwake na kumkuta katibu muhtasi wake.
katibu mukhtasi akamwambia mkurugenzi yupo kwenye ziara ya waziri wa TAMISEMI. Alipomuuliza kama kuna barua yake yeyote ya ualiko alijibiwa kuwa hakuna barua yeyote.
ukweli ni kuwa waziri amezuiwa kuonana na madiwani na hata mwenyekiti wa halmashauri hajapewa heshima yake ya kuwawakilisha madiwani kwenye ziara ya waziri.
Ni wakati sasa wa waziri kujua hali halisi ya halmashauri ya Meru.