Ndugu wana jf, leo usiku waziri wa maliasili Mh.Lazaro Nyalandu atahojiwa one-on-one na kipindi hatari cha BBC HARDtalk usiku sana lakini nawaomba muangalie live kwani ni kipindi ambacho maswali yake huwa ni magumu kuyajibu ambapo hata George Bush nakumbuka alitaka kukimbia pia marais wengi wakiwekwa kwenye hicho kiti huwa kama kiyama kwao, Marge Thatcher alitoka jasho jembamba alipobanwa kuhusu meli iliyozama vita vya Falklands,
Nawasilisha.