Waziri ni Msaidizi wa Rais, RC na DC ni Wawakilishi wa Rais!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,145
Pamekuwa na Tabia ya Mawaziri kujimwambafy Kwamba wao ni Wawakilishi wa Rais wa JMT, hiyo si kweli wao ni Wasaidizi tu

Endapo Waziri anatoka katika fungu la 10 la Wabunge wa kuteuliwa na Rais wa JMT basi Huyo ruksa kujimwambafy

Mabalozi, Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya ndio Wanamwakilisha Rais

Tunakumbushana tu, samahani lakini 😂
 
Kasome sheria ya itumishi..... yeyote aliyekasimiwa madaraka yeyote au kazi yoyote ya srikali kuanzia makamau wa Rais hadi mfagizi wa ofisi wa serikali hufanya kazi kwa niaba ya rais!
 
Back
Top Bottom