JACADUOGO2.
JF-Expert Member
- Dec 13, 2010
- 930
- 220
Huyo utakuta ni katika waandishi au wahariri wa hayo magazeti.Ulichoandika hakiendani na title ya thread.UPOTOSHAJI WA MAKUSUDI.Nyie ni mfano wa yale magazeti yanakuja na bonge la title ndani utumbo.stop ths mkuu,hata ungeandika kwa title nyngne tungesoma.SORRY THOUGH!
aisee hi methali yako mpya ni kibokoWe acha mambo hayo atakukatia umeme akikusikia kumbuka ile methali inasema ukimsifu ngeleja atakukatia ume.......