Waziri Ndugulile wajibika na achia ngazi

Kivumishi Kielezi

JF-Expert Member
Nov 1, 2019
1,028
2,448
Pamoja na kwamba bei ya vifurushi vipya imesimamishwa, bado ndugulile unapaswa kuwajibika binafsi.

Unapowahadaa wananchi mbele ya hadhara kwamba unaenda kurekebisha na kuleta nafuu kwenye vifurushi, halafu ghafla unapandisha vifurushi kiharamia, sijui unataka tukueleweje!?

Umetudharau au umetuona wapumbavu?

Hauaminiki na haustahili kukalia ofisi ya umma.

Hatuhitaji viongozi wadanganyifu na walaghai wanaotapeli watu kwa ujanja ujanja na maneno maneno.

Ukakimbia kwenda kujifungia chumbani kwako ukajitungia vikanuni vya kidhalimu ili kuhalalisha utapeli?

Unafanya hayo kwa faida ya nani?

Kwanza, Kanuni zenyewe ni unconstitutional and ulravires. Haziendani na sheria za bunge za mawasiliano na habari.

Hii inaonesha ni kwa namna gani ulivyo incompetent na mdanganyifu.

Unafanya conspiracies za utapeli sijui kwa maelekezo ya nani? Nani alikutuma kufanya huo uovu? Halafu unatuhadaa.

Siku zote nilijua watu wenye vichwa vikubwa wana akili nyingi, kumbe wewe ni exceptional case?

JIUZULU NA UOMBE RADHI.
 
IMG_20210402_094033.jpg
 
Haya yote wamesababisha wajumbe wa kigamboni
 
Akiomba Radhi jua hajiuzuru na Akijiuzuru jua hatoomba Radhi hivyo chagua tu moja afanyeje?
 
Wamtoe apelekwe wizara nyingine ,hapo alipo hafai maana ni pure kilaza hajui kabisa analolifanya anatuambia kwamba makampuni yatashusha gharama za data halafu inakuja kuwa tofauti,kwani alikuwa hajapewa report jinsi itavyokuwa?
 
Watu wakishaanza kukulaani ujue hauna muda mrefu kwenye hiyo nafasi.
 
Wamtoe apelekwe wizara nyingine ,hapo alipo hafai maana ni pure kilaza hajui kabisa analolifanya anatuambia kwamba makampuni yatashusha gharama za data halafu inakuja kuwa tofauti,kwani alikuwa hajapewa report jinsi itavyokuwa?
Hawa ndio viongozi wanaojigamba kuwa wazalendo!!!!
 
Wamtoe apelekwe wizara nyingine ,hapo alipo hafai maana ni pure kilaza hajui kabisa analolifanya anatuambia kwamba makampuni yatashusha gharama za data halafu inakuja kuwa tofauti,kwani alikuwa hajapewa report jinsi itavyokuwa?
Ni wizara gani ambayo inafaa kilaza sasa au watanzania wameisha?
 
Back
Top Bottom