PreGE2025 Waziri Ndejembi aahidi milioni 5 kwa ukarabati wa Parokia Geita

PreGE2025 Waziri Ndejembi aahidi milioni 5 kwa ukarabati wa Parokia Geita

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

upupu255

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2024
Posts
341
Reaction score
476
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi. Waziri. Mhe. Deogratius J. Ndejembi ameahidi kutoa milioni 5 kwenye harambee iliyoandaliwa na Muhashamu Askofu Flaviani Katindi Kasala wa Jimbo Katoliki la Geita, kwa kushirikiana na Baba Paroko Padri Japheth Masalu wa Parokia ya Bikira Maria Msaada wa Daima Kome kwa ajili ya ukarabati wa jengo la parokia hiyo.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

1743584303568.jpeg
 
Zitatoka nyingi tu, hadi matokeo ya uchaguzi yatoke, na kwa wengine ni kura za wajumbe ndio zitawastopisha kutoa hizi pesa
 
Back
Top Bottom