Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,849
- 67,285
akiwa anapiga gitaa katika bendi ya jeshi la wananchi
Kumbe ni mwanamuziki mzuri eeh?Alikuwa anapiga kinanda Dodoma na baba yake mzee Mnauye wailize watu wa Area C na kilimani club.
Kumbe ni mtoto wa mzee Nnauye?Alikuwa anapiga kinanda Dodoma na baba yake mzee Mnauye wailize watu wa Area C na kilimani club.
kwa hiyo mtoto wa nyoka ni nyoka kumbeBabake Marehemu BRIGEDIA GENERALY MOSES Nnauye ndiye mtunzi wa wimbo wa '' tazama ramani utaona nchi nzuriiiiiiiii ''
haswaaaaakwa hiyo mtoto wa nyoka ni nyoka kumbe
Ndiyo uliza watu wa Area C dom wanamjua alikuwa na adabu na mama yake namjua he has good manners. Mimi siyo mtu wa siasa ila nilijuana na mama yake kwa ajili ya vikundi vya akina mama.Kumbe ni mwanamuziki mzuri eeh?
Ndiyo hapana shaka.Kumbe ni mtoto wa mzee Nnauye?