Waziri Nape alipomtembelea Diamond Platinumz

Safi sana juhudi heshima maarifa na kutokata tamaa roho ya kujitoa kwa wenyeshida giving back to community kuna mpa heshima kila uchwao simbaaaaa
 
Ss nn cha ajaab hata alipie,diamond ni star kutembelewa mi naona kawaida


Waziri wa Habari Nape Nnauye alipomtembelea Diamond Platinumz ofisini kwake leo. Bila shaka amenogewa na midundo ya Kokoro.[/QUOTE]
 
Nafikiri wasanii wengine wapaswa kujifunza kwa Dimond,the guy is so talented lakini pia ametambua mziki ndio ajira yake kwahiyo ameamua kuinvest vyakutosha mpaka kuweza kumiliki ofisi kubwa kama hiyo jambo ambalo limekuwa geni sana kwa wasanii wetu wa kiafrika.
 
Tatizo wengine ofisi zao ni baa na vijiweni. Endelea Diamond kuwaonyesha njia. Hadhi ya ofisi inatosha kabisa kumuonyesha mteja kwamba thamani yako si ya spoti spoti.
 
Ni wazi Diamond ni agent wa kuzimu angalieni hiyo picha vizuri kuna Fuvu la kichwa cha mtu.
Manake nini?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…